Mzee wa kuchomekea aende akawe askariHawezi kuoenya kwa kwamba wa Mamelodi muda wote anachomekea
Dah mkuu kwa hiyo hapo ndo umepongeza?Wivu gani nmepongeza acha nongwa
Yule sijui kalala aziza vipi hawajaona mikimbio yake mechi ya bancoShirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika
1. Ahmed zizo/ Zamalek
2. Clatous Chama/ Simba SC
3. Peter Shalulile/ Mamelody
4. Walid Sabbar / Raja Casablanca
View attachment 2549561