na njaa hii unajipa matumaini utapita, kumbuka huko hakuna siasa utumie ubabe,Tukishindwa na hapa basi tena
unawadharau lesotho kumbe, hatuwawezi abadanHapana jaman hata Kama ni kichwa cha mwendawazimu ila sio kwa group hili yaani hawa Uganda ni kuwachezea jihad tu hao wengine ni kujipigia tu home and away tutavuka salama naamin
Uganda&cape Verde visiki hivyommh tushindwe wenyewe, tukishindwa na hapa naacha kuangalia taifa stars
Tukishindwa na hapa basi tena
mmh tushindwe wenyewe, tukishindwa na hapa naacha kuangalia taifa stars
Mungu atupe nini
Embu tazama ranking za FIFA kabla hujatoa maoni. Mambo sio mepesi kama unavyofikiri.Hapana jaman hata Kama ni kichwa cha mwendawazimu ila sio kwa group hili yaani hawa Uganda ni kuwachezea jihad tu hao wengine ni kujipigia tu home and away tutavuka salama naamin
Cape Verde walk mpiga vyuma 2 ureno ya akina ChristianoHapana jaman hata Kama ni kichwa cha mwendawazimu ila sio kwa group hili yaani hawa Uganda ni kuwachezea jihad tu hao wengine ni kujipigia tu home and away tutavuka salama naamin

Unaijua Cape verde vizuri??Hapana jaman hata Kama ni kichwa cha mwendawazimu ila sio kwa group hili yaani hawa Uganda ni kuwachezea jihad tu hao wengine ni kujipigia tu home and away tutavuka salama naamin