Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mnaendeleza siasa chafu za soka.Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Umelewa au nini tatizo nduguSimba ni lidude fulani li kuuuubwa sana
It's Pancho ndo kalewa mkuuUmelewa au nini tatizo ndugu
Umesomaa vizuri uzi ? Soma tenaInawezekana pia Simba kuanza raundi ya awali, na hii itatokea kama nchi na timu washiriki msimu huu zimeongezeka
Onyesha huo uthibitisho!Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Ndio ukweli anakurupuka nini Ngurunda la BUZA???Huwa unakurupuka vibaya mnoo, lol
Lete utbibitisho hapa, kwani unadhani ukitumia lugha ya kuudhi, nitaudhika?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.Ndio ukweli anakurupuka nini Ngurunda la BUZA???
NotedInawezekana pia Simba kuanza raundi ya awali, na hii itatokea kama nchi na timu washiriki msimu huu zimeongezeka