cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Taarifa rasmi imetoka jioni hii, wee uzi uliweka mchana.Uthibitisho wa nini ikiwa taarifa imetolewa na official site ..
Au ulienda ukakuta uongo?[emoji23]
Au basi tumekurupuka ni uongo?
Hata hivyo ndio nimeingia online sasa hivi tangu muda ule..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbna unajistukia wee mwenyewe.