Taarifa rasmi imetoka jioni hii, wee uzi uliweka mchana.Uthibitisho wa nini ikiwa taarifa imetolewa na official site ..
Au ulienda ukakuta uongo?[emoji23]
Au basi tumekurupuka ni uongo?
Hata hivyo ndio nimeingia online sasa hivi tangu muda ule..
Nimekuuliza kati ya Zamalek na Tp mazembe nani Giant??Hawawezi kuzifikia zile 6 prove me wrong!.
Na hata hao mazembe na zamalek wapo mbali sana juu ya simba ..
Hao ni giants lakini wamekosa nafasi sembuse team ndogo simba?
Ndio ujue wewe upo nyuma wewe tu.Taarifa rasmi imetoka jioni hii, wee uzi uliweka mchana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mbna unajistukia wee mwenyewe.
Hao wote ni giants labda kama hujui unataka ujue ndio hivyo ..Nimekuuliza kati ya Zamalek na Tp mazembe nani Giant??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] primere de agosto msimu uliopita aliishia semi final CAFCL, haya mazembe shirikisho na alifika final. Hakuchukua ubingwa. Kat ya primere na mazembe nan alistahili kucheza 1St round??Sio swala la kunipa taarifa ambayo naijua.
Hizo team 6. Ndio team hasa kwelikweli hao wengine hakuna kitu
Sasa Agosto alitoka hatua gani na alicheza CAFCL simba ni shirikisho
Vidole havilingani usilazimishe [emoji23]
TP MAZEMBE HAWEZI ANZIA HATUA ZA AWALI HATA SIKU MOJA.Hawawezi kuzifikia zile 6 prove me wrong!.
Na hata hao mazembe na zamalek wapo mbali sana juu ya simba ..
Hao ni giants lakini wamekosa nafasi sembuse team ndogo simba?
Mungu wangu kweli huyu ni kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] primere de agosto msimu uliopita aliishia semi final CAFCL, haya mazembe shirikisho na alifika final. Hakuchukua ubingwa. Kat ya primere na mazembe nan alistahili kucheza 1St round??
NI PETRO LUANDA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] primere de agosto msimu uliopita aliishia semi final CAFCL, haya mazembe shirikisho na alifika final. Hakuchukua ubingwa. Kat ya primere na mazembe nan alistahili kucheza 1St round??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, unadhan kandanda unafuatilia pekee yako, huu uzi uliuleta kwa kusikia tyuuh wala hukua na uhakika, ndo maana ukakimbia ulipoombwa uthibitisho lol.Ndio ujue wewe upo nyuma wewe tu.
Au basi huu taarifa hii ni uzushi ipuuzieni..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo nilichanganya na petro, nwei hata km Primere ndo wa kuanza preliminary???Mungu wangu kweli huyu ni kilaza
Nilikuwa nakuona unajua kumbe nilikosea njia daah..
[emoji23][emoji23][emoji119]
Yaani unataka tushinde online kama wewe kweli?πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, unadhan kandanda unafuatilia pekee yako, huu uzi uliuleta kwa kusikia tyuuh wala hukua na uhakika, ndo maana ukakimbia ulipoombwa uthibitisho lol.
Sahivi CAF wameweka wazi, ndo unajitutumua uonekane.
Weraaaaaaaaaaah.
Niliposema hujui nilimaanisha ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo nilichanganya na petro, nwei hata km Primere ndo wa kuanza preliminary???
Acha zako wee, CAF hii taaifa wameweka masaa 3 nyuma, nawee uzi wako umekaa hapa mda gan??Yaani unataka tushinde online kama wewe kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujui ni wewe tu usitulaumu sisi.
Wee ndo huna unalojua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliposema hujui nilimaanisha [emoji23][emoji23]
Huna sifa ya kuongea na mimi kuhusu soka nalazimisha tu toka mwanzo nakuchora tu ..
Bye [emoji23][emoji23]
Sasa km wote ni ma Giants why Mazembe??? Mie nataka vigezo hapa. Ilo nianze kuangalia hizo takwimu utakazonipa.Hao wote ni giants labda kama hujui unataka ujue ndio hivyo ..
Pengine huwajui sawa ndio ujue swali la kipumbavu kabisa [emoji23][emoji23]
Msipoingia makundi mtafukuzana this time,π€£π€£π€£π€£Nimeona shougaaaaa angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi Zamalek anaanzia preliminary stage, uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hapa?? Tuna faida ya kuangukia shirikisho. Hatuwazi sana.Msipoingia makundi mtafukuzana this time,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]