CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Tarehe ya drop Iko hapo chini
Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi.
Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
 
Sio kwa Ubaya ila ungesema kuwa Simba Imeingia Robo fainali mfululiza kwa miaka sita ungepungua nini?

Au ungesema Tanzania imeingiza Timu mbili Ikiwa ni simba ambayo imekuwa ni mara yao ya 6 au 7 kuingiza timu robo fainali na ingizo jipya ambalo ni Yanga
 
All the best kwetu wanayanga
 
Kuna pahala nimeemam uongo? haya hebu tuhesabu hizo mara sita mfululizo ya kwanza 2019 vs To Mazembe, msimu wa 2020 mkatolewa na UDSongo ya pili 2021 Ile msimu wa korona ambapo Hadi namungo aliingia group stage na Simba ikaongoza kundi ikapingwa chuma nne bila na kaizer chiefs ugenini, msimu uliofuatia 2022 hata makundi klabu bingwa Simba haikuingia ilitolewa na hawa Hawa Jwaneng Galaxy ikabidi icheze play off na Red Arrow ya Zambia uwanja ulijaa maji Morrison akawavusha kwenda makundi confederation cup ya luza wakaingia robo ya luza na kuwasha moto south Africa vs Orlando Pirates. Mwaka uliofuatia 2023 mwaka Jana hiyo waliingia robo vs Wydad na Mwaka huu ndo tunasibiri drop Sasa hiyo mara sita mfululizo Iko wapi? Naona on and off tu
 
Ok sasa Yanga Nyinyi mwaka 1998 mmesahau..
Yanga mwaka 1998 ilikuwa Kundi B..

Mlimaliza stage mkiwa na point 2 huku Mkiwa hakuna Mechi mliyoshinda na Draw mbili tu..
Huku Raja akiwachapa Chuma Sita..

Sasa nakupa mechi zenu zote mlizotia aibu huko..

  • 22 August 1998
Young Africans 1–1 Manning Rangers
  • 6 September 1998
ASEC Mimosas 2–1 Young Africans
  • 18 September 1998
Raja Casablanca 6–0 Young Africans

  • 10 October 1998
Young Africans 3–3 Raja Casablanca

  • 24 October 1998
Manning Rangers 4–0 Young Africans

  • 8 November 1998
Young Africans 0–3 ASEC Mimosas

Mbona mnasahau mapema sana?
Ukizidi kuongea nakanyaga Pua..

Chukua Hii upoze Koo


Chukua na hii Pia
 
Wenye akili wawili tu..kwenye hiyo taarifa ya CAF uliyoambatisha imeandikwa wapi kwamba Utopolo walikuwa wa kwanza kuingia robo fainali mwaka 1969?
 
Hata ukate viuno vipi ukweli ni kwamba Simba hii ni mara ya 5 na yanga hii ni mara ya 2 baada ya miaka zaidi ya 20.
 
Safi sana leta rekodi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…