United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
wanazani mpira unaendeshwa kienyeji tu kuna wengine wanakwambia kundi la Simba ni dhaifu wanasahu Kundi la Simba lilikua na Mabigwa wawili wa CAF champions leauge ASec na Waydad wao kundi lao Bigwa mmoja tu ambaye ni ahaly tuHawa jamaa bila kuwapa Record huwa wabishi sana