United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
wanazani mpira unaendeshwa kienyeji tu kuna wengine wanakwambia kundi la Simba ni dhaifu wanasahu Kundi la Simba lilikua na Mabigwa wawili wa CAF champions leauge ASec na Waydad wao kundi lao Bigwa mmoja tu ambaye ni ahaly tuHawa jamaa bila kuwapa Record huwa wabishi sana
Wewe nae ni Dr wa kupiga punyeto au? Hebu tuorodheshe hizo Mara 6 au 7 za Simba kutinga robo fainal!!. Mkiambiwa nyie ni mbumbu mnachukia?Sio kwa Ubaya ila ungesema kuwa Simba Imeingia Robo fainali mfululiza kwa miaka sita ungepungua nini?
Au ungesema Tanzania imeingiza Timu mbili Ikiwa ni simba ambayo imekuwa ni mara yao ya 6 au 7 kuingiza timu robo fainali na ingizo jipya ambalo ni Yanga
Mkuu Yote hayo tunafanya na kutibu lia mioyo kama yako iliyopondeka na wivu na hasira..Wewe nae ni Dr wa kupiga punyeto au? Hebu tuorodheshe hizo Mara 6 au 7 za Simba kutinga robo fainal!!. Mkiambiwa nyie ni mbumbu mnachukia?
Mkuu Yote hayo tunafanya na kutibu lia mioyo kama yako iliyopondeka na wivu na hasira..
Ngoja kidogo nizidi kuuponda moyo wako vizuri...
HII Ni REPORT YA SIMBA KIMATAIFA
Sasa nakupa kazi ya kuhesabu Robo fainali na Group stages..
View attachment 2925543
View attachment 2925544
View attachment 2925545
Sasa na hii ni Yenu Nyie utopolo
View attachment 2925547View attachment 2925548
Niambie kama bado unahema nikutandike Kwenye shingo
Sasa hebu hesabu hapo ziko ngapi mbona kama unahitaji Matunzo ya Akili?Huna akili unajua maana ya kufanya Jambo kwa mfululizo?, Hebu weka hiyo miala ambayo Simba kacheza robo fainal Mara 6/7 mfululizo? . Unakuja na takwimu zinazopingana na kauli yako... Afu unajiita Dr.
Huna akili timamu wewe? Kwahiyo 2018-2024 Simba kacheza robo fainal? M. FvuckSasa hebu hesabu hapo ziko ngapi mbona kama unahitaji Matunzo ya Akili?
Utotoni ulipatwa na Tatizo la akili?
Unashindwa kusoma hapo quater ziko 6?
Pole mkuu Najua inachoma zoea tu..Huna akili timamu wewe? Kwahiyo 2018-2024 Simba kacheza robo fainal? M. Fvuck
Dr mpiga nyeto hahahaha... Unatoa takwimu zinazopingana na hoja yako.Pole mkuu Najua inachoma zoea tu..
Na hongera kwa kuingia Robo Tena baada ya miaka 25
dokta achana na zuzu hilo asije kuzimia apa maana ni slower leaner umeliandika 2018 haelewi litaka labada uwe unaandika ivi 2018/2019 ndio lingekuelewaSasa hebu hesabu hapo ziko ngapi mbona kama unahitaji Matunzo ya Akili?
Utotoni ulipatwa na Tatizo la akili?
Unashindwa kusoma hapo quater ziko 6?
🤣🤣🤣🤣dokta achana na zuzu hilo asije kuzimia apa maana ni slower leaner umeliandika 2018 haelewi litaka labada uwe unaandika ivi 2018/2019 ndio lingekuelewa
“Mara hii Tanzania imeingiza timu mbili robo fainali baada ya Yanga kubahatika kuingia robo fainali kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe hivyo kuungana na simba ambayo imekuwa ikifika hatua hii mara kwa maraSio kwa Ubaya ila ungesema kuwa Simba Imeingia Robo fainali mfululiza kwa miaka sita ungepungua nini?
Au ungesema Tanzania imeingiza Timu mbili Ikiwa ni simba ambayo imekuwa ni mara yao ya 6 au 7 kuingiza timu robo fainali na ingizo jipya ambalo ni Yanga