Source pleasePesa hizo ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania milioni 144 zimetolewa na CAF kama msaada toka FIFA kwa ajili ya kuvisaidia dhidi ya janga la Corona.
Vilabu vitakavyonufaika ni vile vilivyotolewa kwenye hatua za awali kabisa kwenye mashindano ya CAF ambayo ni Klabu Bingwa Afrika, na Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
My Take.
Jamaa zangu wa jangwani hata hii pesa mnaikosa?! Kweli mkae chini mjitafakari sana.
Wewe ni chikoraa la Koinange streetYanga ni Genge La Wahuni Wachache.