CAF yatoa dola za Kimarekani 62,500 kwa vilabu

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Pesa hizo ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania milioni 144 zimetolewa na CAF kama msaada toka FIFA kwa ajili ya kuvisaidia dhidi ya janga la Corona.

Vilabu vitakavyonufaika ni vile vilivyotolewa kwenye hatua za awali kabisa kwenye mashindano ya CAF ambayo ni Klabu Bingwa Afrika, na Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

My Take.
Jamaa zangu wa jangwani hata hii pesa mnaikosa?! Kweli mkae chini mjitafakari sana.
 
Source please
 
Yanga mabingwa wa kihistoria hata hii pesa wanakosa hivihivi?
 
Viongozi wa utopolo wamefanikiwa kuwa brainwash mashabiki wao kwa kuwadanganya eti timu yao ni ya wananchi!

Haina tofauti na wazee wa zamani waliaminishwa kuwa kila mwananchi ni serikali kwa hiyo hakuna mwananchi mwenye haki ya kudai maji kwa serikali kwani serikali ndio yeye mwenyewe.

Akili za utopolo ndio maana zilifananishwa na kima
 
Back
Top Bottom