Nlijua tu watu watakuja na kutetea kupigwa bao na Liboro, ha haaa/
Nlijua tu watu watakuja na kutetea kupigwa bao na Liboro, ha haaa/
hahaaaa yanga timu
ya wachache2 vigogo wa ccm 2 timu isiyo na dila ya biashara lini mtauza
wachezaji nje usajili kwa mbwembwe
Simba imeingia kwene 50 bora baada ya kukojolewa mabao kadhaa na Libolo. Yani nkikumba mbavu sina/
Simba imefanikiwa Afrika licha yakucheza ligi ya Mabingwa mwaka jana bado inarekodi ya kuuza wachezaji kwenye club kubwa barani Afrika hata Ulaya. Acheni yanga waendelea na kelele za chura kwani ipo siku wote wataishabikia simba
Huo ndio utani wenyewe wa jadi..unaniaibisha wajina na hiyo lugha yako dah!