CAF yatoa list ya Klabu Bora 50 Afrika Yanga haimo- je yanga imezidiwa hata na Azam na SIMBA??

CAF yatoa list ya Klabu Bora 50 Afrika Yanga haimo- je yanga imezidiwa hata na Azam na SIMBA??

Watanzania ni wasahaulifu.. Yaani mmesahau kuwa Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF? Siku ya fainali ndio Simba ikatolewa tena inasemekana ilikua ni hujuma ya mfadhili wa Simba kuahidi zawadi ya Kia moja moja? Baada ya kuona Simba wanakaribia kuchukua kombe kibao kikageuka akaona ubahili kutimiza ahadi yake, lakini Yanga haijawahi fika mbali kwenye kombe la Caf ndio maana record yake iko chini sana yaani haitambuliki, labda viligi vya hapa nyumbani ndio inajikongoja kiaina.
 
Nlijua tu watu watakuja na kutetea kupigwa bao na Liboro, ha haaa/

Yanga kubalini ukweli mchungu. Kwa macho ya CAF, Yanga haina cha kuonyesha ktk mashindano wanayoaandaa zaidi ya 'kushiriki' tu na kutia aibu year in, year out. Hata hiyo Grupo Desportivo e Recreativo do Libolo Mungu wenu mnayoiabudu iko chini mbali mno ktk ranking za CAF.
 
Wademu wa LIBOLO bana, kweli umaarufu hauji bila skendo, kojolewa bao za kutosha na Libolo sasa Africa nzima inamjua demu wa Libolo.

"Ukijiita jembe, basi tambua kuwa mimi ndiye ntakaekutia mpini"
 
VIONGOZI WA BONGO WAONGO INABIDI TUBADILIKE KAMA TUNAITAJI MAFANIKIO TUACHANE NA UCHAMBUZI WA KWENYE VIJIWE NA BAADHI YA WACHAMBUZI WA SOKA BONGO KUVISIFIA HIVI VILABU. :argue:
 
hahaaaa yanga timu ya wachache2 vigogo wa ccm 2 timu isiyo na dila ya biashara lini mtauza wachezaji nje usajili kwa mbwembwe
 
tatizo hiyo orodha imetolewa na CAF ndio maana yanga hatumo, ila ingetolewa na CCM lazima mngetuona, si unajua yanga na CCM dam dam ha ha ha ha msinipopoe mawe tu
 
Swala la msingi ni vigezo vinavyotumika na CAF yenyewe. Vinaeleweka? Vinakubalika? Vinginevyo hayo yanabaki kuwa ni maoni ya CAF ambayo hayasaidii hata kukopea pesa benki. Nionavyo, CAF yenyewe ndio haimo hata katika 50 bora za vyama bora vya mpira duniani. Sijapata kusikia kwenye vyama vingine timu kupokwa ushindi kwenye klabu bingwa ya bara husika eti kwa kuchezesha mchezaji siye (kumbe ni njama za kuitoa Mazembe ili kuwapa Waarabu kibonde Simba)!
 
Hivi kuuza wachezaji nako kunaioa timu nafac za juu kwenye renk?
Na revo ungeweka hiyo taarifa ya caf tuisome wote na iwe imetoka caf c link za kuunga unga
Nometafuta kwenye website ya caf sioni hiyo renk ya vilabu zaidi ya renk ya national team
 
Simba imeingia kwene 50 bora baada ya kukojolewa mabao kadhaa na Libolo. Yani nkikumba mbavu sina/

huwa naenjo avatar yako kwa laptop..kwenye hii simu nlonayo bakora za libolo hazizami kabisa msimbazi....no motion
 
Simba imefanikiwa Afrika licha yakucheza ligi ya Mabingwa mwaka jana bado inarekodi ya kuuza wachezaji kwenye club kubwa barani Afrika hata Ulaya. Acheni yanga waendelea na kelele za chura kwani ipo siku wote wataishabikia simba

Kuuza wachezaji ndio mafanikio? Hebu tutajie hao wachezaji mliouza ulaya
 
Nlijua tu watu watakuja na kutetea kupigwa bao na Liboro, ha haaa/

Hichi kipigo kimeleta madhara makubwa sana kwa Yanga simba 5.jpg
 
Back
Top Bottom