CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Naomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
 
Hizi akili za HAJI MANARA huwa mnatembea nazo nyie mikia Fc wote??
Watu tuko kwenye Covid 19 we unatuletea mambo ya Simba?
Sema huwa nakukubali sana kwenye mambo za siasa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu walaumu CAF kama una hoja....
Wao wametoa ranks sisi mashabiki tunafurahia tu kuwapo kwa timu zetu Kwenye chati.
Hilo ''kosa'' (kama kutoa takwimu wakati wa COVID-19 ni kosa kwa mujibu wa madai yako) basi tuhuma zote zifike pale CAF na sio kwa sisi mashabiki wa Ahly, Esperance, Mazembe, Simba na wengineo
 
labda CAF waweke ranking ya vilabu bora vilalamishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…