OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hiyo ni ranking mpya iliyotoka tarehe 27 March,2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi kuhusu Tp na As Vita... sio afrika mashariki?
Africa Mashariki ni Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. Labda useme Africa Mashariki na Kati ndo zinaingia DR CongoNa vipi kuhusu Tp na As Vita... sio afrika mashariki?
Ahsante kwa elimu mkuuAfrica Mashariki ni Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. Labda useme Africa Mashariki na Kati ndo zinaingia DR Congo
Wewe uliyefika fainali mbona haupo?sifa za kijinga..unatoka awali
Hizi akili za HAJI MANARA huwa mnatembea nazo nyie mikia Fc wote??
Watu tuko kwenye Covid 19 we unatuletea mambo ya Simba?
Sema huwa nakukubali sana kwenye mambo za siasa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
labda CAF waweke ranking ya vilabu bora vilalamishiNaomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
Kwamba imekuumaHizi akili za HAJI MANARA huwa mnatembea nazo nyie mikia Fc wote??
Watu tuko kwenye Covid 19 we unatuletea mambo ya Simba?
Sema huwa nakukubali sana kwenye mambo za siasa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app