CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

Uhakika ni kwamba hii habari kesho au leo usiku haitatangazwa na makanjanja la sivyo itabidi wakjieleze vizuri kwa wale jamaa wanaowapaga bahasha za khaki kwani baada ya kujitutumua redioni wakitetea waarabu wa Berkane na wale waarabu watoaji bahasha za khaki kwamba goli la sakho ni offside huko CAiro wamekuja na jibu tofauti kabisa

PAPE SAKHO kwa mara ya pili anachukua goal bora la week huku zimbwe na onyango wakiingia kikosi bora cha week...poleni sana wacha mbuzi..wacha goats kazi mnayo mwaka huu tengenezeni story nyingine sasa
 
Hivi Sakho na Mayele nani mfungaji bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…