CAFCL 2023 group stage kuziweka Simba na Yanga pamoja?

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
2,170
Reaction score
3,067
Baada ya miamba hawa wa Tanzania wote kwa pamoja kuingia hatua ya makundi, kuna uwezekano mkubwa wakawa kundi moja.

Tumeshuhudia timu kadhaa katka nchi moja kuwa kundi moja, mfano ni jirani zetu Sudan. Al hilal na El merreikh walipangwa kundi moja.

Hii ukizingatia Simba na Yanga hawawezi kuwekwa poti moja. Simba akiwa katika zile poti za timu tishio zinazopewa nafasi ya kutwaa ubingwa.

Je, upo tayari na ungependa kuziona hizi timu kuwa kundi moja?

Historia huwekwa, historia huvunjwa.
 
Wachengeshe droo tukutane nusu fainali kwenda mbele huko
Screenshot_20231001-214936.png
 
Pot 1
Al Ahly, Wydad, Es Tunis, Mamelod

Pot 2

Belouizdad,Simba, Petro luanda, Pyramid

Pot 3

Tp Mazembe,Young African,Etoil du Sahel,Al Hilal kama watafuzu.

Pot 4
Asec mimosa, Nouadhibou, Medeama, Galaxy
 
Leo ndiyo leo kivumbi na jasho. Caf tuleteeni hao malalamiko fc tuwakimbize Fifa wakatusemee tumemwaga sumu vyumbani.
 
Back
Top Bottom