Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Baada ya miamba hawa wa Tanzania wote kwa pamoja kuingia hatua ya makundi, kuna uwezekano mkubwa wakawa kundi moja.
Tumeshuhudia timu kadhaa katka nchi moja kuwa kundi moja, mfano ni jirani zetu Sudan. Al hilal na El merreikh walipangwa kundi moja.
Hii ukizingatia Simba na Yanga hawawezi kuwekwa poti moja. Simba akiwa katika zile poti za timu tishio zinazopewa nafasi ya kutwaa ubingwa.
Je, upo tayari na ungependa kuziona hizi timu kuwa kundi moja?
Historia huwekwa, historia huvunjwa.