CAFCL Al hilal Vs Yanga

CAFCL Al hilal Vs Yanga

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
Huu mchezo hapo kesho huko Sudan matokeo yake ni aidha Al Hilal 1 : 0 Yanga, ama sare ya namna yoyote ile (0:0, 1:1, 2:2, 3:3).
 
Na abeid mziba au issa athuman ndiyo atakaye funga hilo goli ila

golikipa juma pondamali ndiye atakaye fanya uzembe wa kufungwa hilo goli la kusawazisha kwa wapinzani. Ah sijui naota
 
Azam anayo nafasi kubwa kutoboa kuliko Yanga.

Ni vema Yanga ikajiandaa na Knock out ya shirikisho.
 
Back
Top Bottom