CAFCL Sasa ni utajiri wa kutupwa

CAFCL Sasa ni utajiri wa kutupwa

Mashabiki wa mpira mitihani sana.
Hizo ni pesa za wajanja, mashabiki haziwahusu hata nukta.
Zile za mwaka Juzi mmeziona?
Za mwaka jana mlionyeshwa?
Bado mmeziwa jezi kwa bei juu.
Hata Youn African ikawa no. 1 bado pesa ni zao wenyewe wajanja. Wajinga mtajazwa uwanjani baaasi
Ndio maisha ya ushabiki yalivyo dunia nzima hata pale Madrid Wala hakuna siku Perez kagawa hela kwa mashabiki ila walilipa hela watu 80 elfu kuangalia utambulisho wa Mbape tena ilikuwa siku ya kazi
Ugumu wa kuendesha team za mpira acha TU wapate tena wapate zaidi
Mi nimenunua jersey ya Yanga 45000
Nimelipia kadi 29000 elfu na kwenye mechi naenda ila bado naona GSM anapata hasara Niko najichanganya nikanunue kits za mazoezi GSM mall
 
Back
Top Bottom