sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Badili heading sio second round ni first roundAl Merrekh ya Sudan baada ya kutinga hatua inayofata wameamua kutumia uwanja was Rwanda kama home kwahivyo watakutana na Yanga tarehe 15/9/23.
Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana faida mbili. 1. Anaanzia ugenini.
2. Anaanza uwanja ambao sio wa Merrekh, kwahiyo Merrekh atakosa advantage ya kuwa Sudan.
Toa maoni yako.
Nipe tofauti ya round na leg zinavyotumika kwenye soka, haswa michuano ya mtoano.Badili heading sio second round ni first round
Kumbe habari njema hiiAwali ya yote niwakumbushe tu kuwa FAR Rabat ya aliyekuwa kocha wenu, Nabi, imeua mtu (Asko: 7-0) kule Morocco hapo jana baada ya kumpiga Asko na kitu chenye ncha kali. Tulimpenda Asko lakini Mungu amempenda zaidi. Ina lilah Rahjiuni
Azam katolewa nyumbani kwao, kama huna uwezo unapigwa popoteAl Merrekh ya Sudan baada ya kutinga hatua inayofata wameamua kutumia uwanja was Rwanda kama home kwahivyo watakutana na Yanga tarehe 15/9/23.
Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana faida mbili. 1. Anaanzia ugenini.
2. Anaanza uwanja ambao sio wa Merrekh, kwahiyo Merrekh atakosa advantage ya kuwa Sudan.
Toa maoni yako.
Hata waende wap, kipigo kiko pale paleKwa habari mpya nilizozipata iv punde el merreikh wamehamia morroco na sio rwanda tena
Uto wanaenda kupigwa huko.Kwa habari mpya nilizozipata iv punde el merreikh wamehamia morroco na sio rwanda tena
Madogo wanaofuata hawana akili nzuri.Awali ya yote niwakumbushe tu kuwa FAR Rabat ya aliyekuwa kocha wenu, Nabi, imeua mtu (Asko: 7-0) kule Morocco hapo jana baada ya kumpiga Asko na kitu chenye ncha kali. Tulimpenda Asko lakini Mungu amempenda zaidi. Ina lilah Rahjiuni
Hata wahamishie huko Afghanstan! Bado kichapo kiko pale pale. Na wajiandae kupigwa mechi zote mbili.Kwa habari mpya nilizozipata iv punde el merreikh wamehamia morroco na sio rwanda tena
Sio raundi ya awali hii ujue. Pia ujue sio shirikisho hii. Pia ujue kuna kupigiana penati, kwa hiyo golikipa atakayekaa langoni awe mjanja mjanja, sio wa kufungwa penati hata na wajamaa wa DjiboutiHata wahamishie huo Afghanstan! Bado kichapo kiko pale pale. Na wajiandae kupigwa mechi zote mbili.
Ni afadhali umempa somo kupitia Simba na Azam. Si vibaya kujifunza kwa mwenzioKikubwa maandalizi kuanzia ugenini pekeyake si fursa. Tumeona Simba alishawahi tolewa na UD Songo, Juwaneng Galaxy, Kizer Chief n.k zote izo mechi alianzia ugenini na kutolewa Nyumbani.
Azam pia walianzia ugenini na kutolewa Nyumbani.
Yanga wanatakiwa kuimaliza mechi kule ugenini kwakua wameshawahi fanya hivyo mara kadhaa.