sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Al Merrekh ya Sudan baada ya kutinga hatua inayofata wameamua kutumia uwanja wa Rwanda kama nyumbani kwahivyo watakutana na Yanga tarehe 15/9/23.
Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana faida mbili.
Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana faida mbili.
- Anaanzia ugenini.
- Anaanza uwanja ambao sio wa Merrekh, kwahiyo Merrekh atakosa advantage ya kuwa Sudan.