O One n Only Member Joined May 4, 2013 Posts 33 Reaction score 27 Nov 2, 2014 #1 Wakuu salaam, Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni.
Wakuu salaam, Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni.
S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,627 Reaction score 1,926 Nov 2, 2014 #2 One n Only said: Wakuu salaam, Alie mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni. Click to expand... My One n Only, Natumaini hapa wako wajuzi wengi wa hivi vitu, soon watakuja!! Ikishindikana sana basi pitia hata Google ucheki. Ingawa zitakua katika mazingira ya wenzetu but waweza zifanyia editing zilingane na za kwetu!! Ukipata kadhaa za Google ukaziunga pamoja waweza kupata kitu kizuri tu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
One n Only said: Wakuu salaam, Alie mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni. Click to expand... My One n Only, Natumaini hapa wako wajuzi wengi wa hivi vitu, soon watakuja!! Ikishindikana sana basi pitia hata Google ucheki. Ingawa zitakua katika mazingira ya wenzetu but waweza zifanyia editing zilingane na za kwetu!! Ukipata kadhaa za Google ukaziunga pamoja waweza kupata kitu kizuri tu!!
O One n Only Member Joined May 4, 2013 Posts 33 Reaction score 27 Nov 2, 2014 Thread starter #4 kdany said: kumbe n ww Click to expand... 😞😒😒😞😞😒