Cafeteria business Plan

Cafeteria business Plan

One n Only

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
33
Reaction score
27
Wakuu salaam,

Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM.

Asanteni.
 
Wakuu salaam,

Alie mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM.

Asanteni.

My One n Only,

Natumaini hapa wako wajuzi wengi wa hivi vitu, soon watakuja!!

Ikishindikana sana basi pitia hata Google ucheki. Ingawa zitakua katika mazingira ya wenzetu but waweza zifanyia editing zilingane na za kwetu!!

Ukipata kadhaa za Google ukaziunga pamoja waweza kupata kitu kizuri tu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom