OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
Amekuwa mtetezi wa wiziNasikia Ndugai amesema 1mil ikikosa risiti kati ya 500mil siyo tatizo sana kisheria na wala siyo wizi. Amesistiza tu kuwa ni haki yake CAG kuhoji, lakini wananchi hawatakiwi kuona ni wizi
Unaona eh! Jizi linaanza kujinyea nyeaNgoja nichaji simu hapa si pakuondoka