CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

CCM wanazingua, Baba Spika wa bunge, mama nae yumo ndani na licheo juu, aisee! Nchi hii..
 
Ndiyo maana kaanza kuweweseka Bungeni leo.
Mara oh, tofauti ya sh milioni 1 siyo issue. Mara oh Mbowe kakomenti ripoti ya CAG ilhali hakuna hata sehemu moja kwenye speech yake mwamba kaitaja ripoti hiyo.
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
 
Leo Spika anamlaumu Mwenyekiti wa CHADEMA eti hakuelewa ripoti ya CAG kwa sababu mkewe kachota.Wabunge msiwe wapuuzi, Ripoti ya CAG ipo sahihi na mabilioni yameibwa. Msionyeshe upendeleo kwa kuwa mnatoka chama kimoja na Spika.Hii ni awamu ya Sita.
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Wamepigwa marufuku.hata wewe na mimi tusingethubutu.ilikuwa keko inatusubiri.
 
CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti,kuna madudu sana
Kati ya mwaka 2007 na 2010, mke wa Ndugai ambaye ni Daktari kitaaluma alikuwa DMO - KONGWA. Hapo Kongwa Ndugai anamikiliki Petrol Station by then.

Idara ya Afya ndiyo Ina magari mengi katika Wilaya. Huyo DMO alikuwa anaamrisha magari yote wilayani yakajazeafuta kwenye kituo ambacho ana masilahi nacho. Infact kulikuwa hata na mafuta hewa.

Wakati huo Ndugai alikuwa Naibu Spika. Walimstahi akahamishiwa Dar es Salaam kwenye kitengo cha maboresho ya motisha kwa watumishi wa afya.

Anyway huyo DED amekubuhu kwenye FORGERY,
 
CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti,kuna madudu sana
Yeyote atakaye msaliti JPM anajidanganya mwenyewe.
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
naona umeropoka bila kuwa na uhakika? kuna chanjo imeletwa nchini?
 
Back
Top Bottom