Hii ni HOJA wala sio WI ZI,Wengi katika Waandishi wa habari ,Wananchi,Wabunge hawajui maana ya Hoja,Na kutofautisha MAONI na USHAURI unaotolewa na Mkaguzi.
WENGI HAWAJUI:Kama pangekuwa na wizi watu wangepelekwa POLISI na KUFUNGWA.
Hapo kwenye HALMASHAURI ni SIASA na Kiki Tu kwa wana SIASA.Kama pangekuwa na wizi wengi wangefungwa,Bahati mbaya wengi hawajui kuwa mambo ya Halmashauri ni SIASA tu!
Wananchi wengi hawajashtuka kuwa wizi upo kwenye WIZARA ,WENGI WANADANGANYWA kuwa kuna wizi HALMASHAURI,Lakini hoja zote za Halmashauri ni HOJA MOJA YA WIZARA!!!!
JAMBO HILI HAKUNA MBUNGE ANAEZA KULIZUNGUMZA!!!!
1.ALIYE LALA USIMUAMSHE
2.USIMFIMBUE KIPOFU
3.ALIYELALA USIMUAMSHE
Hii taarifa ya CAG,sehemu yenye wizi,huwa mashtka yanafunguliwa wala haisubiri taarifa ya CAG!!!!