CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

Ndugai anahusika na ufisadi huu kwa namna yake.
 
like father like son, mme fisadi , mzushi , mkabila na mchuki the same mke naye ameridhi, watu warefu wana shida sana.
 
Msiwe mnaongelea vihela vidogo kama hivi, kuna 1.5t yaani Billion 1500 sawa na millioni millioni moja na laki tano ilipigwa ufafanuzi ukatolewa na "Super Mathematician " Humphrey mwana wa Slow. Ukaongeza moja unakwenda na moja kichwani, unakopa 0.
 
Watazitapika tu
 
Kuna madudu zaidi ya hapo
 
Hapo ndipo tujiulize "usafi wa mwenza wake" uko wapi!? Usikute alimwambia "we piga tu ntakulinda!!" Hii nchi imechezewa sana... na walidhani mwendazake ataishi milele wajifiche kwenye kivuli cha kumsifu huku wakitekeleza nia zao ovu...
 
Familia ya majizi. Dhalimu magufuli alimpatia Ndugai $12 million eti pesa za matibabu kule India sawa na 28 billions za Kitanzania.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…