CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Hesabu za mwaka mmoja zinawezaje kutengeneza BEP ya uwekezaji mkubwa?

Unakalili wewe boss...

Ya Tesla inaonesha miaka...

There might be a BEP kwenye daily, monthly na year of running a business na hicho ndio unachoandika hapa...

Analysis ya biashara kubwa ni miaka sio mwaka....

Elewa kidogo boss

Akili unazo ila application ndio shida mtani[emoji16][emoji16]
 
Basi la Moro Dar la abiria 65
Ukipata under 20 passengers ni loss.
Kutokana na cost za safari..

Ukipata 30 passengers unakuwa huna hasara wala faida uko zero (BEP)

Abiria mmoja ama zaidi ya hapo ni faida...

Sasa hapo umetumia BEP kwa unit moja... unaweza kufanya kwa wiki etc.

Kampuni kubwa financial year ni 12 months na unafanisha na miaka mi5 hadi 10....

Loss ilianza na 113B kwa mwaka na sasa ni 60B.... graph inasonga right meaning tunapata faida ila haziendani na cost za uendeshaji kwa mwaka hadi itakapofika hasara ni zero
 
Formula hiyo hapo attached...
Zingine zooooote mbwembwe...

Hakuna anayetaka kujua ndege ina viti vingapi wala nini...
 
Acha kuchanganya mambo wanaposema investment itachukua miaka kumi kurudi aina maana kila mwaka utapata hasara.

Investment costs inakuwa portioned kila mwaka either as depreciation au capital allowance.

Unapopiga hesabu za break even unaweka hiyo portion as fixed costs za mwaka husika if it’s depreciation, au uziweki kabisa if you receive capital allowance.

Kwa maana hiyo kila mwaka lazima upate faida ata kama investment itachukua miaka 10 kurudi.
 
Dah ndio break even point ya usafiri wa basi inavyoangaliwa hivyo? Kazi kweli kweli.
 
ATC inapata faida kila mwaka..
Ila considered loss kutokana na cost.

Ulivyovitaja ni Part ya final report ambayo kwa mtu wa kawaida haikuhusu ila umbeya ama ujuaji.

Nahisi wewe ndio una google..

Unajishaulisha kuwa ulianza kwa kuponda BEP
 
ATC inapata faida kila mwaka..
Ila considered loss kutokana na cost.

Ulivyovitaja ni Part ya final report ambayo kwa mtu wa kawaida haikuhusu ila umbeya ama ujuaji.

Nahisi wewe ndio una google..

Unajishaulisha kuwa ulianza kwa kuponda BEP

Costs zipi na zina affect vipi faida?
 
I dont need any professionalism kujua Tesla ama ATCL wana BEP baada ya miaka mingapi.. ...

Simple data za financial years inatosha.

Ndio maana nilisema PhD na miakili mingi ya aviation una tumia vibaya...

Akili unazo shida matumizi...[emoji16][emoji16]
The bottom line mambo mengine waachie proffesionals in this instance accountants.

Usi google vitu bila ya kufahamu their practicability.
 
That's how u used it kwa ndege.

Kwangu naangalia in terms of financial years
Ni wapi kwenye hesabu zangu za ndege niliweka idadi ya wateja as the basis of BEP? Mimi nimetumia the cost of air mile per sit. Why it’s the basis of strategic planning in aviation.

Pili hesabu za Break Even Point kwenye production mantiki yake ni kusaidia management kujipanga kwenye aspect za budgeting you need to set sales targets first, why?

Because sales income ndio zina cover all other budgets kwa ivyo break even point inakwambia minimum amount you can produce to cover your variable and fixed costs; and still make profit in the end. Kama ushawahi kutengeneza master budget you should know that.

Uwezi kuangalia BEP in terms of financial hiyo siyo aspect ya financial accounting huko wana deal na ratios.

BEP inatumika kwenye management accounting, zinapigwa hizo hesabu kuasaidia managers in their decision making and business planning kwa mwaka husika.

Dah mkuu busara ni kuacha kujadili mambo usiyo na ufahamu nayo. Ata nikikuuliza how cash budgeting works pamoja nakwamba jibu nishakuwekea hapa I know utanizingua tu kwenye kuelezea.
 
Ntazidi kukupa mfano wa Tesla..
Ntaangalia final annual financial data.
Kujua Tesla ilianza kutengeneza faida lini....

Sina haja ya kwenda deeper kwenye operations na production zao...

Una akili nyingi ila unazitumia isivyo [emoji16]

 
Ntazidi kukupa mfano wa Tesla..
Ntaangalia final annual financial data.
Kujua Tesla ilianza kutengeneza faida lini....

Sina haja ya kwenda deeper kwenye operations na production zao...

Una akili nyingi ila unazitumia isivyo [emoji16]
Tesla kafanyaje? pengine ata huko una interpret vibaya ndio maana unakazana Tesla x 3 sema usaidiwe kuelewa ulichoona huko.
 
Ntazidi kukupa mfano wa Tesla..
Ntaangalia final annual financial data.
Kujua Tesla ilianza kutengeneza faida lini....

Sina haja ya kwenda deeper kwenye operations na production zao...

Una akili nyingi ila unazitumia isivyo [emoji16]

Soma tena vizuri hiyo habari yako hasara za Tesla ni za makusudi kwa sasa wanauza magari yao below production costs kwa sababu kwenye kila gari on average wanapata $7500 ya bure kutokana na kuuza environmental trade off tariffs and tax reliefs.

Maana yake nini kupambana na uchafuzi wa mazingira kila mzalishaji wa magari anapewa tariff za idadi ya air pollution magari yake yanayoweza zalisha.

Kwakuwa Tesla magari yake hayana pollution allocation yake ya air pollution anayopewa US anauza kwa watu wengine wanaohitaji kuongeza production, otherwise bila ya kuwauzia wangekuwa restricted kuzalisha magari zaidi kwa kuwa washafikia limit.

It’s a strategy which works for now ndio maana magari yake anauza below production costs na bado kupata faida kwa sababu kuna hela za environmental trade off.
 
Alikuwa anapiga loss hadi recently. ..
Angalia trend yake ya biashara kwa past years

Same type ya Loss ATCL wanapata kwenye uwekezaji mpya..

Only tofauti ATCL hatupati free money... ila Tesla na ATCL wana undergo hasara ya uzalishaji wa mwanzoni....

Hasara ya uwekezaji wa mwanzoni before kufikia BEP

Again mengine mbwembwe ambazo layman haitaji...

Misuse of akili[emoji16]


 
Unaenda ku Google vitu ata uvielewi halafu unataka watu wa discuss. Nina uhakika hiyo graph inaelezea vitu vingine ambavyo umeshindwa kuvielewa.



Source: Tesla Net Income 2009-2020 | TSLA

☝️ Tesla annual net income from 2009-2020. Hawajawahi tengeneza hasara.



Source: Tesla - Stock Price History | TSLA

Market share value ☝️ ndani ya kipindi hiko pia imekuwa, umewahi kuona share value inapanda kwenye kampuni inayotengeneza hasara?

👋 done with you
 
Mtoa mada ushawai fanya bishara?hasara kwenye biashara lazima mwanzon mbona unakua kama kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…