CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

Again vyote ulivyotoa havina umuhimu..

Very simple ... Tesla haijawahi kupata hasara??????... hata ATCL haijawahi kupata hasara... ila inatengeneza faida ambayo haijazidi gharama za uendeshaji...

Kuelimika sio kuwa na madata..
Ni kuweza kuelezea kitu hata mjinga akaelewa...
Unaenda ku Google vitu ata uvielewi halafu unataka watu wa discuss. Nina uhakika hiyo graph inaelezea vitu vingine ambavyo umeshindwa kuvielewa.

View attachment 1738858

Source: Tesla Net Income 2009-2020 | TSLA

[emoji3516] Tesla annual net income from 2009-2020. Hawajawahi tengeneza hasara.

View attachment 1738859

Source: Tesla - Stock Price History | TSLA

Market share value [emoji3516] ndani ya kipindi hiko pia imekuwa, umewahi kuona share value inapanda kwenye kampuni inayotengeneza hasara?

[emoji112] done with you
View attachment 1739134
 
Hakuna faida katika shirika la ndege ambalo ndege zake nyingi zinasafiri zikiwa half empty au almost empty majority of the time. Hiyo ya faida itaanza kuwa generated in 15 to 20 years ni ndoto za ALINACHA wakati ukiwa hujui what will be the business environment after 15/20 years.

Investment ya trillion 2 huwezi rudisha mtaji nani ya miaka mitano, hiyo ni above 15 -20 yrs ROI baada ya hapo ndipo utaona faida, achaneni na theory ingieni kwenye uhalisia, nendeni on the ground muone biashara zinavyo enda, otherwise tutaanzisha vitu na kuviacha, je kuna kitu ambacho tutaweza fanya?
 
Back
Top Bottom