Investment ya trillion 2 huwezi rudisha mtaji nani ya miaka mitano, hiyo ni above 15 -20 yrs ROI baada ya hapo ndipo utaona faida, achaneni na theory ingieni kwenye uhalisia, nendeni on the ground muone biashara zinavyo enda, otherwise tutaanzisha vitu na kuviacha, je kuna kitu ambacho tutaweza fanya?