CAG: Dreamliner za ATCL zatia hasara ya Tsh bilioni 23.6

Ni mwaka sasa bado naskia kelele za mwendazake na ni mwaka sasa toka hangaya aongoze!!
NATARAJIA mwaka huu uwe wa mwisho kumnanga jpm
ila sababu ya ujinga wenu mtaendelea tuu ad25 ili kuficha mazaifu yenu

*by the way nyumbu wenzio washahama kwa jpm habari ya mujini a.k.a chaka ni russia ukraine war
 
Tutaendelea kuagiza CAG afanye special audit sehemu mbalimbali, hasa ununuzi wa ndege na korosho na mengineyo, Kisha tunakuwa tunalipua moja moja, mtu wa hovyo lazima aonekane wa hovyo, asipewe legacy isiyokuwa yake
 
Umepiga ushuzi
 
Goodluck..... ila msijisahau mkashindwa kutengeneza legacy yenu 2025 sio mbali
 
Haya Magufuri kaleta hasara kweli nini kifanyike, (akamatwe, afungwe au anyongwe)

Issues updates ni hizi kwa sasa ...
 
Kikao Cha familia kinaendelea, tutatoa majibu
 
Nimecheka sana hapo kwa mwendawazimu kukusanya makopo kibao lakini hajui ayafanyie nini na ukiangalia Magufuli alivyonunua midege hiyo kwa fujo na mbwembwe kibao leo hii yamekuwa sehemu za kutagia njiwa!!
 
Tungependa detailed information from CAG

Viti havijai, hairuki imeharibika, hawana marubani, inaogopa kukamatwa, haina vibali, Covid 19, vikwazo vya EU, vita vya Ukraine ?????
 
Kwenye ripoti ya CAG ya mwakani Atcl watapata faida ya bilioni 60
 
Kwenye ripoti ya CAG ya mwakani Atcl watapata faida ya bilioni 60
Hali itakuwa nzuri taratibu, kurekebisha uharibifu wa miaka sita ndani ya mwaka mmoja sio jambo rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…