Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Madeleka kakamatwa tenaYule shetani aliharibu sn nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madeleka kakamatwa tenaYule shetani aliharibu sn nchi
Mshana nakuheshimu sana. Kwa kauli hii, acha tu nijitenge.Haipo tena Serikali Tanzania itakayokuja kuibiwa fedha kama Serikali ya JPM
Kwani wale wote wa "plea bargaining" wamemaliza MADENI YAO ?!!!Madeleka kakamatwa tena
Madeleka kutoka Polisi alifungua kampuni yake ya UWAKILI. Halafu kumbuka Mrs Madeleka alikuwa ni Mtumishi wa IMMIGRARION Mkoa wa Arusha akiwa kitengo kinachohusiana na wahamiaji haramu.Madeleka kakamatwa tena
Inasemekana ni Kibano Cha maswali alichopewa Kingai kwenye Kesi ambayo Madeleka ni Wakili wa utetezi ndio imeleta hii mamboKwani wale wote wa "plea bargaining" wamemaliza MADENI YAO ?!!!
Samia si alisema zilipelekwa China ,amechukua hatua gani kuzirudisha? Mmeona mmebanwa kwenye uuzaji wenu wa Bandari mmeona eti muanzishe shutuma juu ya Magufuli!! Hili la bandari hamchomoki na hukumu yenu mtaipata hapa hapa duniani na sio ahera!!Kwa
Kwa hiyo zipo bank gani?Kama wahuni wanatuhakikishia kwamba pesa hizo zilichukuliwa.Watuambie zipo bank ipi.Sio kutuletea maneno ya uongo yasuo na ushahid.
Kingai ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]Inasemekana ni Kibano Cha maswali alichopewa Kingai kwenye Kesi ambayo Madeleka ni Wakili wa utetezi ndio imeleta hii mambo
Hii inahusiana nini na kukamatwa tena ?Madeleka kutoka Polisi alifungua kampuni yake ya UWAKILI. Halafu kumbuka Mrs Madeleka alikuwa ni Mrumishi wa IMMIGRARION Mkoa wa Arusha akiwa kitengo kinachohusiana na wahamiaji haramu.
Kesi zote ambazo Peter Madeleka alikuwa anashinda zilikuwa zinaharibiwa na mkewe ofsini. Na wahamiaji haramu wengi alikuwa anawasukuma kwa mumewe kwa ajili ya kutetewa mahakamani.
Hivyo Madeleka na mkewe walihujumu sana jeshi la Immigration Arusha hadi baadaye uongozi wa Makao Makuu ukagundua.
Kilichofuata ni mke wa Madeleka kuhamishwa kitua na hatimaye kuacha kazi Immigration.
Na hiyo ndiyo sababu kubwa ya bifu la Madeleka dhidi ya Makakkala, CG wa Immigration
Madeleka hajawahi kuwa msafi, ndiyo maana alikubali kusaini plea bargain
"Conflict of interests".....Madeleka kutoka Polisi alifungua kampuni yake ya UWAKILI. Halafu kumbuka Mrs Madeleka alikuwa ni Mrumishi wa IMMIGRARION Mkoa wa Arusha akiwa kitengo kinachohusiana na wahamiaji haramu.
Kesi zote ambazo Peter Madeleka alikuwa anashinda zilikuwa zinaharibiwa na mkewe ofsini. Na wahamiaji haramu wengi alikuwa anawasukuma kwa mumewe kwa ajili ya kutetewa mahakamani.
Hivyo Madeleka na mkewe walihujumu sana jeshi la Immigration Arusha hadi baadaye uongozi wa Makao Makuu ukagundua.
Kilichofuata ni mke wa Madeleka kuhamishwa kitua na hatimaye kuacha kazi Immigration.
Na hiyo ndiyo sababu kubwa ya bifu la Madeleka dhidi ya Makakkala, CG wa Immigration
Madeleka hajawahi kuwa msafi, ndiyo maana alikubali kusaini plea bargain
Ukiwa unaishi nyumba ya vioo usiwe wa kwanza kutupa mawe kwa watu wa nje. Madeleka ni mchafu sana kwenye kazi yake ya zamani na kwenye uwakili wakeHii inahusiana nini na kukamatwa tena ?
Maza ameshaharibiwa amekuwa dikteta haswaMadeleka kakamatwa tena