OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
CAG kafanya jambo la kishujaa tusema ukweli kama ATCL inaendeshwa kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka.
Umefanya kijasiri kwa sababu tumekuwa tunafichwa sana na kudanganywa tunapata faida na gawio.
Hapo CAG umetuonjesha tu.
Umewezaje kutuambia kuhusu uendeshaji wa ndege kabla hujatuambia ndege zilivyopatikana. Twende ngazi kwa ngazi-usiruke stage mkaguzi.
Kama umeshindwa seme tukusaidie.
Hujawahi kutuambia:
1. Nani alipitisha bajeti ya ndege zile
2. Business plan ipo?
2. Walipitisha bei gani
3. Zikatumika bei gani
4. Mchakato wa kununua nani alifanya
5. Lini serikali ilitangaza tenda
6. Kampuni gani ziliomba
7. Utaratibu gani ulitumika kulipa,nani kasaini ankara
8. Ndege ni mpya au zilipigwa rangi tu
9. Sheria ya manunuzi na fedha za Serikali ulizingatiwa?
Kama CAG ameshindwa aseme asaidiwe.