Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Eee bhana hawa watu waliobaki waliokuwa wanashirikiana naye hawana aibu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifufuka ataishia kujificha tena! sio kwa uwazi huu... Masikini Shujaa wa KizamaniSasa naona mnataka marehemu afufuke..😂😂😂😂😂😂
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.CAG kafanya jambo la kishujaa tusema ukweli kama ATCL inaendeshwa kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka.
Umefanya kijasiri kwa sababu tumekuwa tunafichwa sana na kudanganywa tunapata faida na gawio.
Hapo CAG umetuonjesha tu.
Umewezaje kutuambia kuhusu uendeshaji wa ndege kabla hujatuambia ndege zilivyopatikana. Twende ngazi kwa ngazi-usiruke stage mkaguzi.
Kama umeshindwa seme tukusaidie.
Hujawahi kutuambia:
1. Nani alipitisha bajeti ya ndege zile
2. Business plan ipo?
2. Walipitisha bei gani
3. Zikatumika bei gani
4. Mchakato wa kununua nani alifanya
5. Lini serikali ilitangaza tenda
6. Kampuni gani ziliomba
7. Utaratibu gani ulitumika kulipa,nani kasaini ankara
8. Ndege ni mpya au zilipigwa rangi tu
9. Sheria ya manunuzi na fedha za Serikali ulizingatiwa?
Kama CAG ameshindwa aseme asaidiwe.
Mbona wewe hujatumia accounting kujenga hoja?Mkuu naona unatumia book keeping kwenye kujenga hoja yako badala ya accounting.
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Hayo maswali yotebukiyajibu ndiyo sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka.CAG kafanya jambo la kishujaa tusema ukweli kama ATCL inaendeshwa kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka.
Umefanya kijasiri kwa sababu tumekuwa tunafichwa sana na kudanganywa tunapata faida na gawio.
Hapo CAG umetuonjesha tu.
Umewezaje kutuambia kuhusu uendeshaji wa ndege kabla hujatuambia ndege zilivyopatikana. Twende ngazi kwa ngazi-usiruke stage mkaguzi.
Kama umeshindwa seme tukusaidie.
Hujawahi kutuambia:
1. Nani alipitisha bajeti ya ndege zile
2. Business plan ipo?
2. Walipitisha bei gani
3. Zikatumika bei gani
4. Mchakato wa kununua nani alifanya
5. Lini serikali ilitangaza tenda
6. Kampuni gani ziliomba
7. Utaratibu gani ulitumika kulipa,nani kasaini ankara
8. Ndege ni mpya au zilipigwa rangi tu
9. Sheria ya manunuzi na fedha za Serikali ulizingatiwa?
Kama CAG ameshindwa aseme asaidiwe.
Iko hivi. Baada ya kuunda ATCL mpya ambayo itakuwa kama NGO, the govt will have to DONATE those planes to the new ATCL and write off from its books. New ATCL will treat these planes as gifts with no book values. Hivyo dipreciation haitaonekana kama expenses kwenye vitabu vya uhasibu vya ATCL. Hii itaondoa 'kabisa' au kupunguza hasara inayosababishwa na uchakavu.Mkuu naona unatumia book keeping kwenye kujenga hoja yako badala ya accounting.
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app