CAG kama umeshindwa kukagua manunuzi ya Bombadier, sema usaidiwe

Eee bhana hawa watu waliobaki waliokuwa wanashirikiana naye hawana aibu ?
 
Sasa naona mnataka marehemu afufuke..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akifufuka ataishia kujificha tena! sio kwa uwazi huu... Masikini Shujaa wa Kizamani
 
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.


Haisemi ufisadi umeisha.

Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.

Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
 
Hayo maswali yotebukiyajibu ndiyo sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka.
Ninachokijua raisi alimwita mtengeneza ndege wakajifungia ndani alisema " HAPA KAZI TU"
 
Majibu na maelezo mengi ya hayo maswali ni Classified. Ila ndo hivyo TZ na sisi tuna ndege zetu.😎
 
Mkuu naona unatumia book keeping kwenye kujenga hoja yako badala ya accounting.


Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Iko hivi. Baada ya kuunda ATCL mpya ambayo itakuwa kama NGO, the govt will have to DONATE those planes to the new ATCL and write off from its books. New ATCL will treat these planes as gifts with no book values. Hivyo dipreciation haitaonekana kama expenses kwenye vitabu vya uhasibu vya ATCL. Hii itaondoa 'kabisa' au kupunguza hasara inayosababishwa na uchakavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…