CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo.

Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama ilivyowasilishwa.

Chanzo: Eatv Habari!

 
CAG Prof Assad amezipongeza halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na waziri wa Tamisemi mh Jaffo.

Prof Assad amesema pia Kamati za kudumu za bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama ilivyowasilishwa.

Chanzo: Eatv habari!
Safi kabisa..
Kila chombo kifanye kazi yake ili kulinda rasilimali za nchi..!
 
Kwa hiyo ndugai na jamaa zake wameamua kwa dhati ya mioyo yao bila kushurutishwa na mtu kuwatumikia watanzania?
 
Lakini kuna afisi hapa tz zilikaguliwa lipoti zake hazijadiliwa wla hatajadiliwa .

Mfano afisi ya ndege na madini nani atathubutu kuitolea povu
 
ASAD NI MSOMI, MUADILIFU, NA ANA UWELEDI WA KUTOSHA KUSONGESHA TAIFA MBELE KWA NAFASI YAKE YA KIUTENDAJI NA AUNGWE MKONO.
OVA, MZALENDO APA.
 
Back
Top Bottom