johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Safi kabisa..CAG Prof Assad amezipongeza halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na waziri wa Tamisemi mh Jaffo.
Prof Assad amesema pia Kamati za kudumu za bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama ilivyowasilishwa.
Chanzo: Eatv habari!
Acha kabisa dawa ilikuwa chungu ila imewaingia
Safi kabisa..
Kila chombo kifanye kazi yake ili kulinda rasilimali za nchi..!
HahahahaaaaaaTutamwita tena kwenye kamati ya haki na madaraka ya Bunge kwa kutuzalikisha
Mbona ni kama vile ameamua kujiunga na kundi la kupongeza juhudi.
Ulitaka awe pinga pinga kila kitu?!Mbona ni kama vile ameamua kujiunga na kundi la kupongeza juhudi.
Nadhani ni matakwa ya kikatiba!Kwa hiyo ndugai na jamaa zake wameamua kwa dhati ya mioyo yao bila kushurutishwa na mtu kuwatumikia watanzania?
Kwani kuna kitu alikuwa anakipinga huko nyuma ...........!!Ulitaka awe pinga pinga kila kitu?!