CAG Kichere: Kwa mwaka wa fedha 2024/2025, upotevu wa maji umeongezeka kufika 35% na kusababisha hasara Bilioni 248.78

CAG Kichere: Kwa mwaka wa fedha 2024/2025, upotevu wa maji umeongezeka kufika 35% na kusababisha hasara Bilioni 248.78

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam amesema ongezeko la upotevu wa maji umeongezeka kutoka asilimia 32 hadi kufikia asilimia 35 hali ambayo imesababisha hasara ya takribani Bilioni 248.78

Soma Pia:
Aidha amesema kwa Mkoa wa Dar es salaam 53% ya maji yanayozalishwa yanapotea kwa mkoa wa Morogoro asilimia 50% yanayozalishwa yanapotea


​
 
Back
Top Bottom