Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa na baadhi ya watendaji wa Serikali na mamlaka za mitaa kwa kuwa unaziba mianya ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Utouh alisema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akitoa mada kuhusu usimamizi wa fedha za umma na uwajibikaji katika Kongamano la Kitaifa la PPP kwenye Sekta ya Maji.
Soma Pia: CAG Mstaafu Ludovick Utouh afichua kwanini baadhi ya Vigogo wanakimbia PPP, 'Kudokoa asilimia 10 hakuna tena'
Amesema hakuna taifa linaloweza kufikia maendeleo ya kweli kwa kutegemea bajeti ya Serikali pekee bila kushirikisha uwekezaji wa sekta binafsi, akibainisha kuwa mfumo wa PPP huongeza uwazi na usimamizi wa karibu wa miradi.