CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Na kwakua hao wachache ambao wanadhani ni first class citizen ndiyo ambao wana tablets na internet connections basi wanaaminisha watu kuwa ni watanzania kumbe majoritarian hawana hata basics...Hataree sana hivi virus kuliko corona!
Hayati JPM alijali welfare ya kila kundi na siyo ambap wanajua kupiga makelele ndiyo maana katika msiba wake wale disadvantaged ndiyo waliotandika nguo zao barabarani....
 
Maelezo ya kifundi...
Ila maelezo ya ujumla uko sawa..
Ndugu maana ya faida ni (Mapato - Matumizi) hapo kwenye matumizi no pamoja na running costs kwahiyo huwezi kusema unapata faida lakini inamezwa na running costs that's called loss mzee
 
CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?

Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Mlimani City Shopping Malls zimejegwa ndani ya eneo la UDSM
 
KAKURUPUKA huyo Mkuu. Hakuwahi kuendesha shirika la ndege popote pale duniani hiyo conclusion yake ni UCHWARA halafu kaminya kuhusu faida itapatikana baada ya muda gani.
Wewe ulishawahi kuendesha shirika la ndege wapi?
 
Alishakagua mashirika mangapi ya ndege nje ya nchi ili kuthibitisha anachozungumzia?
 
Miaka hamsini bado tuwe tunajaribu tu si ndio...? Hivi ni lini watanzania tutakuwa na uthubutu wa kufany mambo? Hivi ulisikia hata mwenyekiti wako alimsifia magufuli kuwa ni mtu mwenye uthubutu... woga wa nini kila siku... na ndo maana daima hatufanikiw kwa sababu ya kukosa uthubutu.

Kila kitu tunajaribu, kisa kuogopa hasara. Na ndio maana hata hatufanikiw maisha yanazidi kuwa duni tu. Inabdi ifike mahala tujue namna ya kulazimisha kuyatafuta mafanikio... fanya kazi... kazi kazi kazi kazi na kuacha kupiga domo...

Pia, tuache maisha ya kupiga dili.. ndo maana tukipewa kaz tuisimamie tunawaza kuiba na uvivu... hujui tu ulivyonikera... fanyeni kazi...

VIJANA TUACHE NA MAWAZO MUFILISI... I WISH MZEE ANGEKUWA HAI HATA SASA.
 
Reactions: Ame
Tukisema jiwe Alikua msanii Watu wanabisha. Tulikokua tunaenda hata hospitali na shule za msingi na sekondari zingetakiwa kutoa gawio. Ovyo sana
 
ATCL pengine ilitoa contributions and not dividend to the Govt. Fatilieni msichanganye mambo.
Uko sahihi. Kilicholipwa na ATCL hakikupaswa kuitwa Dividend..........
(Dividends are paid to the shareholders of a company out of profits or reserves. So, a lossmaking company with no reserves cannot pay a dividend. That means, unlike a salary, contractors and other business owners can only pay a dividend when their company is profitable.)
 
Watu hawaelewi Mkuu KUKURUPUKA kwa huyo mwendazake kulivyoathiri uchumi wa nchi katika miaka mitano. Mwenyezi Mungu katunusuru sana 🙏🏾Watanzania. Imagine miaka mitano hali iko kama hivi je angekaa miaka 10 au milele kama maccm walivyotaka akae madarakani mpaka achoke mwenyewe au afariki si uchumi badala tu ya kuuangusha angeua kabisa uchumi.
 
Janga lingine la KUKURUPUKA kwa mwendazake kuhusu manunuzi ya korosho na dhuluma kubwa aliyowafanyia Wakulima wa Korosho hii hapa. Halafu kuna wapuuzi wanataka eti kumuenzi huyu. Kuna cha kuenzi kwenye mediocre performance, dhuluma na udhalimu!?
 
ATCL pengine ilitoa contributions and not dividend to the Govt. Fatilieni msichanganye mambo.
Ila siku wanatoa liliitwa gawio huku TV zikiwa mubashara na wananchi kupongeza kwani ilionekana miaka ya nyuma yalikuwa yanaingia mitini ila wataalamu wa mambo walihoji inakuwaje mashirika ya Umma yanatoa gawio huku vitabu vya mahesabu vinaonyesha hasara
 
Na kupelekwa Mwanza kila siku badala ya kuruka majuu huku nyingine (Air Bus) badala kuwa busy na kusafirisha abiria, inapata nafasi mpaka ya kusafirisha msafara wa Rais (kwa kigezo hiki tu inaonyesha ndege ni nyingi kuliko abiria)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…