Na kwakua hao wachache ambao wanadhani ni first class citizen ndiyo ambao wana tablets na internet connections basi wanaaminisha watu kuwa ni watanzania kumbe majoritarian hawana hata basics...Hataree sana hivi virus kuliko corona!Thanks!
Nice, logical and factual argument. Akili kubwa!
Tatizo watanzania wengi, hata waliosoma ni mateka wa propaganda.
Maisha kipindi cha JPM yalikuwa na unafuu mkubwa sana kwa watanzania walio wengi.
Miaka ya nyuma walio faidi keki ya taifa walikuwa wachache sana. Mijini watu walikuwa wanajirusha, wanashinda night clubs na kupangia nyumba mademu hata 4 kwa mpigo, wakati ukienda kijijini hupati change ya sh 10,000.00.
Watanzania wa vijijini walikuwa wanakumbwa na njaa na hwana fedha ndogo ya matibabu. Ndiyo mana kipindi cha mavuno sababu ya madeni na mahitaji ya muhimu hasa matibabu walikuwa wanauza mazao yote kwa bei ndogo na kisha hao hao wakulima wenye kipato kidogo wanakuja kulazimika kununua mazao kwa ajili ya chakula kwa bei kubwa sana. Aliyekuwa anafaidi, mfanyabiashara!
Hayati JPM alijali welfare ya kila kundi na siyo ambap wanajua kupiga makelele ndiyo maana katika msiba wake wale disadvantaged ndiyo waliotandika nguo zao barabarani....