CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Mwambieni pia uttoh ajue kuwa, mpaka leo hii ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali, ATCL haiwezi kujiendesha na hata ikiendeshwa bado haiwezi kutengeneza faida.
Nataka nikujuze pia mashirika yote ya ndege duniani yanaendeshwa na ruzuka zitokazo serikalini mwao Fuatilia
 
Uttoh amesema mashirika ya ndege huwa yanapata faida baada ya miaka mingapi?

Hizo pesa wanazogawiwa serikalini sio dividend zitafutiwe jina lingine, hata Tume ya uchaguzi ilitoa hizo pesa kwa serikali wakati walikuwa wakidaiwa posho na wasimamizi wa uchaguzi.
Awamu ya propaganda ni noma.. hadi tume ya uchaguzi?
 
Eti tatizo la hayati hakuwa muongo, halafu akaitisha matangazo mubashara ATCL, TTCL nk zikitoa gawio serekalini, huku ukiwa ni uongo wa wazi. Kwa kutetea ujinga ni bora ungepewa kazi ya kulinda kaburi lake ungepata neema ya kuwa muongo msaidizi. Kama watu mnaoweza kutumia mitandao bado ni wajinga hivi, hao wakulima huko vijijini wana ujinga wa kiasi gani?
Karudie tena sheria za mashirika ya umma, amekwambia CAG mstaafu kunatofauti la gawiwo ambalo lipo kisheria ya 15% ya mapato ya shirika la umma liwe linapata faida au hasara kwakua kuna mtaji wa serikali humo, na faida ambayo ni dividend...Msiwe mnakurupuka eleweni kwanza jambo!
 
Ni uongo kwamba mashirika ya ndege hayapati faida katika miaka ya mwanzo. Emirates ilianzishwa March 25, 1985 na imekuwa iliendeshwa kwa faida kubwa, na mwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 30 COVID imesababisha shirika hilo kupata hasara.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~


Emirates Airline records first losses in over 30 years
An Emirates A380 prepares for take off at Sydney Airport on 25 March 2020 in Sydney, Australia. [Mark Evans/Getty Images]

An Emirates A380 prepares for take off at Sydney Airport on 25 March 2020 in Sydney, Australia. [Mark Evans/Getty Images]
November 13, 2020 at 9:30 am

Emirates Airline revealed yesterday that it had recorded losses for the first time in more than three decades due to the repercussions of the coronavirus which brought air travel to a "literal standstill".

The Dubai based airline said it had suffered a loss of $3.4 billion during the period from March until September.

"We started our current fiscal year in the midst of a global blockade, when air passenger traffic was literally at a standstill. In this unprecedented situation for the aviation and travel industry, the Emirates Group recorded a half-year loss for the first time in over 30 years," Emirates Airline Chief Executive, Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, said in a statement.

Al Maktoum explained that as a result of the spread of coronavirus, the company had to suspend its flights for weeks, before resuming them to a number of cities which helped to restore revenues from zero to 26 per cent of what was recorded in the same period last year.

The company's total revenue fell by about 75 per cent to $3.2 billion between 1 April and 30 September, after it carried only 1.5 million passengers; a decrease of about 95 per cent compared to last year.

Emirates Airline Chairman, Tim Clark, said the suspension of flights and the decline in the number of travellers forced the company to lay off about 9,000 employees.

The group used to employ 60,000 people, including 4,300 pilots.

READ: Emirates Airline could take 4 years to resume all flights
 
Jiwe angeendelea kuwepo angeweza hata kubadili tarehe ya uhuru wa Tanganyika kuwa 28 Oktoba 2015 na sisi tukasherehekea!

No wonder kule Mbarali wananchi walimpongeza kwa kuleta kupatwa kwa jua nchini! Kweli CCM ni msiba wa taifa (national tragedy)!

Halafu wasomi ndio wangekuwa wa kwanza kujitokeza kuunga mkono huo uhuni, na kusema jamaa ni mzalendo sana maana hata wao hawakulifahamu hilo!
 
Kwa hiyo zile bilioni 28 tulizotangaziwa na mmiliki wa nchi akisema ni faida ya ATCL haikusawa kweli?
Ilikua nidhamu ya woga kiukweli jamaa alikua na dhamira ya dhati ila kuna watu waliogopa kumwambia ukweli narudia tena waliogopa kumwambia ukweli ila alikua na malengo sahihi na hii nchi
 
Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.
 
ATCL pengine ilitoa contributions and not dividend to the Govt. Fatilieni msichanganye mambo.
Kwa kiswahili iliitwa GAWIO,, we tafuta kingereza chake.

Lakini ni nai alitangaza kuwa ATCL inapata faida? Na kwanini?
 
Mzee uttoh yuko sahihi kabisa, mashirika yote ya ndege huwa hayaleti faida ya moja kwa moja kwa taifa. Biashara ya ndege kama yenyewe huwa haiingizi faida, ila faida zake huja kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo safari hizo za ndege hufanikisha ndani ya nchi husika.

Mfano mzuri shirika kubwa kama la Fly-Emirates au Air-China hayapati faida za moja kwa moja, lakini shughuli za kiuchumi ambazo haya mashirika yamezifanyikisha ndizo huingiza faida. Fly-Emirates linafanikisha shughuli za kiutalii na biashara ya kimataifa ndani ya ile falme ya Kiarabu.

Faida ambazo zinapatikana kutoka kwenye utalii na biashara ya kimataifa ndiyo hutumika kufidia (Compensate) gharama ya uendeshaji wa shirika la Fly-Emirates. Biashara ya ndege ina gharama kubwa sana kuendesha, na mashirika yanayoingiza faida kama Ethiopian Airlines hayaingizi kutokana na safari za anga bali kazi nyingine (Kufundisha marubani na wahudumu, pamoja na kufanya marekebisho ya ndege) ambazo shirika hufanya.

Ambacho sisi hatukukubaliana na Raisi Magufuli ni ile tabia ya kusema unanunua ndege kwa pesa taslimu kuinua UTALII nchini, ilhali umeweka sera mbovu ambazo zinawakimbiza watalii: Hata mpango-mkakati wa biashara hajatupa wananchi.

Lingine ni hili la kununua ndege kwa pesa taslimu bila kuweka wazi mikataba yake linatia ukakasi sana. Jingine shirika bado liko kwenye majaribio ya kufufuliwa na halijasimama vizuri: Tungejaribu kwanza kuchukua ndege chache chini ya Lease (Dry or Wet Leases ) huku tukipima upepo unaendaje.....
Msijitoe ufahamu,
Mmesahau huyo jiwe wenu ndiye alitangaza kuwa ATCL inapata faida ya 28b kwa mwaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnapigania legacy halafu mnamsupport anayemprove wrong mzee wa legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msijitoe ufahamu,
Mmesahau huyo jiwe wenu ndiye alitangaza kuwa ATCL inapata faida ya 28b kwa mwaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnapigania legacy halafu mnamsupport anayemprove wrong mzee wa legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliongopa na hakuwahi kuwa muwazi. Sheria inasema gawio litolewe pale tu ambapo faida inapatikana. ATCL imekuwa ikipata hasara kwa miaka yote hivyo kusingekuwa na gawio...
 
Kichwa maji babaako na mamaako ZWAZWA wewe!
We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.
 
Karudie tena sheria za mashirika ya umma, amekwambia CAG mstaafu kunatofauti la gawiwo ambalo lipo kisheria ya 15% ya mapato ya shirika la umma liwe linapata faida au hasara kwakua kuna mtaji wa serikali humo, na faida ambayo ni dividend...Msiwe mnakurupuka eleweni kwanza jambo!

Usitake kuchanganya alichosema Utooh kisheria na ule utapeli aliokuwa anaufanya Jiwe. Alichokuwa anakifanya jiwe ni kuhadaa umma kuwa ATCL inapata faida. Mwaka jana mwezi Desemba kwa masikio yangu nilimsikia akiuongopea umma kuwa ATCL imeingiza faida ya 28b. Huku mitandaoni kwenye watu waelewa wala usijitokeze kumtetea yule muhuni, maana utajiabisha bure.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?

dikteta ni mpuuz apumzike kwanza atuachie daslama yetu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.
Utalii wa ndani kwa ndege ya dreamliner!? Hapa unajichoresha tu kwa kupulizia kinyesi perfume ukitarajia kitanukia.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani hata zile hospital zilizojengwa utazifichaje kwamfano, unadhani kupunguza gharama za usafiri na malazi kwakwenda mbali siyo increament through substitution?
Hospital bila madawa na wahudumu tutaipa jina gani linalofaa?
 
Na mnapenda kupotosha kuhusu hayo mashirika kuwa yamepata hasara.
Hasara wanayoisema ni ile expected profit kupungua lakini siyo hasara kama ya ATCL,,
ATCL hawajapata faida kabisa na badala yake wamekula mtaji,,,wanategemea boost ya serikali.
 
Mwambieni pia uttoh ajue kuwa, mpaka leo hii ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali, ATCL haiwezi kujiendesha na hata ikiendeshwa bado haiwezi kutengeneza faida.
Yah kwakua ni shirika la umma, inamaana tunawa subsdize wale wakulima ambao mazao yao yanafika sokoni through meddle men kwakua wao hawana vipato vya uhakika...Kisha utalii ambao ndiyo 2nd kwenye pato ghafi hauwezi kuwa na tija mpaka kupitia usafiri wa ndege...Utalii hata wafanya biashara ni watalii maana wakija mjini wanakaa hotel wanakula hotel na kwa mama ntilie etc...Kwahiyo shirika la ndege la umma peke yake linaweza kuhimili kuendeshwa kwa ummoja na kila mtu kuchangia kupitia kodi...

Tunatakiwa tu kuwashauri management jinsi ya kuongeza tija kwenye hizo direct, indirect and induced accruals...Shirika la binafsi linaweza kupata faida lakini halitaweza ku service kwa malengo hayo mapana kwa nchi...Hii ndiyo tofauti ya mradi wa JPM na zile air craft binafsi ambazo kwanza zilikuwa zinachangia katika capital flight na hazija fungamanishwa na malengo ya nchi moja kwa moja kupitia budget yake
 
Back
Top Bottom