Nataka nikujuze pia mashirika yote ya ndege duniani yanaendeshwa na ruzuka zitokazo serikalini mwao FuatiliaMwambieni pia uttoh ajue kuwa, mpaka leo hii ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali, ATCL haiwezi kujiendesha na hata ikiendeshwa bado haiwezi kutengeneza faida.
Awamu ya propaganda ni noma.. hadi tume ya uchaguzi?Uttoh amesema mashirika ya ndege huwa yanapata faida baada ya miaka mingapi?
Hizo pesa wanazogawiwa serikalini sio dividend zitafutiwe jina lingine, hata Tume ya uchaguzi ilitoa hizo pesa kwa serikali wakati walikuwa wakidaiwa posho na wasimamizi wa uchaguzi.
Nijibu swali hili:Wanaopenda kusikia wanachokipenda kukisikia hata kama siyo fact watapinga hili
Karudie tena sheria za mashirika ya umma, amekwambia CAG mstaafu kunatofauti la gawiwo ambalo lipo kisheria ya 15% ya mapato ya shirika la umma liwe linapata faida au hasara kwakua kuna mtaji wa serikali humo, na faida ambayo ni dividend...Msiwe mnakurupuka eleweni kwanza jambo!Eti tatizo la hayati hakuwa muongo, halafu akaitisha matangazo mubashara ATCL, TTCL nk zikitoa gawio serekalini, huku ukiwa ni uongo wa wazi. Kwa kutetea ujinga ni bora ungepewa kazi ya kulinda kaburi lake ungepata neema ya kuwa muongo msaidizi. Kama watu mnaoweza kutumia mitandao bado ni wajinga hivi, hao wakulima huko vijijini wana ujinga wa kiasi gani?
Jiwe angeendelea kuwepo angeweza hata kubadili tarehe ya uhuru wa Tanganyika kuwa 28 Oktoba 2015 na sisi tukasherehekea!
No wonder kule Mbarali wananchi walimpongeza kwa kuleta kupatwa kwa jua nchini! Kweli CCM ni msiba wa taifa (national tragedy)!
Ilikua nidhamu ya woga kiukweli jamaa alikua na dhamira ya dhati ila kuna watu waliogopa kumwambia ukweli narudia tena waliogopa kumwambia ukweli ila alikua na malengo sahihi na hii nchiKwa hiyo zile bilioni 28 tulizotangaziwa na mmiliki wa nchi akisema ni faida ya ATCL haikusawa kweli?
We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Kwa kiswahili iliitwa GAWIO,, we tafuta kingereza chake.ATCL pengine ilitoa contributions and not dividend to the Govt. Fatilieni msichanganye mambo.
Msijitoe ufahamu,Mzee uttoh yuko sahihi kabisa, mashirika yote ya ndege huwa hayaleti faida ya moja kwa moja kwa taifa. Biashara ya ndege kama yenyewe huwa haiingizi faida, ila faida zake huja kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo safari hizo za ndege hufanikisha ndani ya nchi husika.
Mfano mzuri shirika kubwa kama la Fly-Emirates au Air-China hayapati faida za moja kwa moja, lakini shughuli za kiuchumi ambazo haya mashirika yamezifanyikisha ndizo huingiza faida. Fly-Emirates linafanikisha shughuli za kiutalii na biashara ya kimataifa ndani ya ile falme ya Kiarabu.
Faida ambazo zinapatikana kutoka kwenye utalii na biashara ya kimataifa ndiyo hutumika kufidia (Compensate) gharama ya uendeshaji wa shirika la Fly-Emirates. Biashara ya ndege ina gharama kubwa sana kuendesha, na mashirika yanayoingiza faida kama Ethiopian Airlines hayaingizi kutokana na safari za anga bali kazi nyingine (Kufundisha marubani na wahudumu, pamoja na kufanya marekebisho ya ndege) ambazo shirika hufanya.
Ambacho sisi hatukukubaliana na Raisi Magufuli ni ile tabia ya kusema unanunua ndege kwa pesa taslimu kuinua UTALII nchini, ilhali umeweka sera mbovu ambazo zinawakimbiza watalii: Hata mpango-mkakati wa biashara hajatupa wananchi.
Lingine ni hili la kununua ndege kwa pesa taslimu bila kuweka wazi mikataba yake linatia ukakasi sana. Jingine shirika bado liko kwenye majaribio ya kufufuliwa na halijasimama vizuri: Tungejaribu kwanza kuchukua ndege chache chini ya Lease (Dry or Wet Leases ) huku tukipima upepo unaendaje.....
Aliongopa na hakuwahi kuwa muwazi. Sheria inasema gawio litolewe pale tu ambapo faida inapatikana. ATCL imekuwa ikipata hasara kwa miaka yote hivyo kusingekuwa na gawio...Msijitoe ufahamu,
Mmesahau huyo jiwe wenu ndiye alitangaza kuwa ATCL inapata faida ya 28b kwa mwaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnapigania legacy halafu mnamsupport anayemprove wrong mzee wa legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.
Karudie tena sheria za mashirika ya umma, amekwambia CAG mstaafu kunatofauti la gawiwo ambalo lipo kisheria ya 15% ya mapato ya shirika la umma liwe linapata faida au hasara kwakua kuna mtaji wa serikali humo, na faida ambayo ni dividend...Msiwe mnakurupuka eleweni kwanza jambo!
Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Utalii wa ndani kwa ndege ya dreamliner!? Hapa unajichoresha tu kwa kupulizia kinyesi perfume ukitarajia kitanukia.We kichwa maji jiongeze basi,ATCL kama ATCL inaweza isipate faida lakini ikasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta zingine kama utalii wa ndani ya nchi na ujasiriamali.
Hospital bila madawa na wahudumu tutaipa jina gani linalofaa?Yaani hata zile hospital zilizojengwa utazifichaje kwamfano, unadhani kupunguza gharama za usafiri na malazi kwakwenda mbali siyo increament through substitution?
Msijitoe ufahamu,
Mmesahau huyo jiwe wenu ndiye alitangaza kuwa ATCL inapata faida ya 28b kwa mwaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnapigania legacy halafu mnamsupport anayemprove wrong mzee wa legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah kwakua ni shirika la umma, inamaana tunawa subsdize wale wakulima ambao mazao yao yanafika sokoni through meddle men kwakua wao hawana vipato vya uhakika...Kisha utalii ambao ndiyo 2nd kwenye pato ghafi hauwezi kuwa na tija mpaka kupitia usafiri wa ndege...Utalii hata wafanya biashara ni watalii maana wakija mjini wanakaa hotel wanakula hotel na kwa mama ntilie etc...Kwahiyo shirika la ndege la umma peke yake linaweza kuhimili kuendeshwa kwa ummoja na kila mtu kuchangia kupitia kodi...Mwambieni pia uttoh ajue kuwa, mpaka leo hii ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali, ATCL haiwezi kujiendesha na hata ikiendeshwa bado haiwezi kutengeneza faida.