CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Hongera zake Kichere......hii Jumapili ni njema!
 
Cheo ni dhamana
Tuntemeke Sanga aliwahi kubadilishiwa wizara saba ndani ya miezi miwili,kidogo ajinyonge lakini alipeta
Unajuwa ulichokisema? Hebu tuwekee historia ya Mzee Tuntemeke kwa uijuavyo mkuu.
 
Sasa nime elewa (shukrani mkuu), kama ni hivyo basi mkulu amesigina katiba labda tuhakikishiwe vinginevyo. Hapa umejibu hoja kwa hoja.
 
Nahisi sasa kama kutakuwa na mechi ya upande mmoja, uwanja umeinamia upande wa wageni
 
Kikundi cha wapigaji naona kinaendelea kujipanga
 
Mwanzo mpya wa upigaji serikalini
hahahaha anachekesha jomba upigaji kwa Nani sasa, kwa Magufuli au Rais mwingine ajaye after Magufuli aft 2025.na wewe ndio utakuwa unaongoza huu upigaji au
 
Nyie wapinzani mpo timamu?

CAG anafanya kazi kwa mkataba wa miaka mitano
Km unampenda sana CAG mwajiri kwako kiazi we
Sasa umewekewa kifungu Cha katiba wewe unaleta taarabu bila kuquote kifungu chochote Cha CAG kuhudumu miaka 5
 
Soma vifungu vyote vinavyomhusu CAG wewe unasoma cha kumwondoa tu. Acha kukariri mkuu!
 
Mbona professor Mussa Assad bado miaka miwili ndio atimize miaka 60!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…