CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Naona jamaa alikuwa hapati usingizi anavizia tarehe ya mwisho ya Assad haijafika bado masaa kaamua kumuondoa aendelee kutumia pesa anavyotaka.
Chadema imchukue Assad ili akafukue makaburi ya mwenyekiti
 
Msisahau JK mlimwita dhaifu !
Prof Assad Mungu akubariki sana kazi uliyofanya wenye akili wameiona.
Eti Kichere CAG...such a coward person...nchi hii ni kituko sana...
 
Ndiyo kastaafu miaka yake mitano,Boss hakumuongezea ingawa umri bado unaruhusu. Sasa arudi kusasihisha Booklets.
Umri bado unaruhusu unamaanisha Nini hapa jomba..amefika miaka 60, ila wewe unavyoona umri unaruhusu kuendelea kufanya kazi au
 

Bunge halina kitu...limevunjwa vunjwa!

Vyombo vya habari destroyed

Upinzani,destroyed!

Civil organizations,destroyed!

CAG ambae ni mkaguzi mkuu kabisa,destroyed!

Sasa kinachofuata ni fiscal displine nationwide kutofanya kazi!

One wrong move siku moja uchumi una collapse!

All checks and balances zimeondolewa!

Expect corrosion!
 
Magufuli is not interested in listening and understanding. He is just harassing the staff and refusing to listen to the explanation. A leader who doesn't listen..
Ile mikutano yote aliyokuwa akifanya na wafanyi biashara, watu wa madini na mikutano ya hadhara huwa hasikilizi !? Daah nongwa mbaya sana !
 
Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Utawala unaodai kupiga Vita ufisadi, unawachukia watu waadilifu wanaoweka wazi ufisadi!!!
Hivi mtu ambaye jana alikuwa demotted ataacha kumtetemekea aliyempromote leo!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…