CAG Report: Tanzania Public dept to GDP ratio reaches 72%

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Habari wadau,

Repoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2015/16 inaonyesha ukuaji wa deni la Taifa umefikia wastani wa Tsh.42 trion sawa na 72% ya pato la Taifa.

Mkaguzi wa hesabu za serikali,CAG ameonya serikali wakati wa kuwasilisha taarifa yake kwa Rais na kusema ikifikia 76% hali ya uchumi itakuwa mbaya.Pamoja na onyo hilo Rais JPM amepuuza na kusema serikali itaendelea kukopa kwani inajenga miundombinu.

My take: Soon zile ngonjera za kuwadisi wakenya zitaanza kusikika huku bongo,wale wapuliza zumari wajitathmini.

Uzalendo wa kijinga sina..
 
Watz buana. Kazi kuruka ruka tu na kupiga midomo kama chiruku, kuhusu nchi za wenyewe, wakati kinachoendelea kwenye nyumba yao hawakijui wala hawataki kukifahamu.
 
Uzembe wenu wa kulimbikiza madeni msituombee na sisi kufika huko, sisi hatukopi kijinga kama ninyi, kumbukeni ninyi ni failed state.

Ahaaa haaa haaa
Never heard anywhere on earth such category Failed middle income state.
 
72%???? Watanzania hapa sio pazuri hata kidogo. Kwa mwendo huu, naona kina Rwanda wakiwapiku kiuchumi.
 
Na wewe umekosea kama CAG
 
Umetoa wapi hio 72% kama mwenyewe aliesema kaomba radhi amekosea usitake tufanane pambaneni na madeni yenu
CAG katumbua jipu wakati bado halijaiva vizuri kukosea ni kutafuta ganzi
 
Uzembe wenu wa kulimbikiza madeni msituombee na sisi kufika huko, sisi hatukopi kijinga kama ninyi, kumbukeni ninyi ni failed state.
The new chorus " mtuombee" utaendelea kuumbua watu na hautamuacha mtu salama
 
Hahah naona furaha yako imeisha. Umekuja mbio hapa watu wanekutoa upepo. Katafute kingine ulete labda unaweza ukapatia next time
Kuja mbio from where maana mm nimefikisha taarifa iliyoiva kutoka kwa CAG,eti amekanusha or something from away mnajua nyie,u have to swallow it maana ukweli ni kama dawa uchungu au ukali wake ndo kupona kwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…