ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Habari wadau,
Repoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2015/16 inaonyesha ukuaji wa deni la Taifa umefikia wastani wa Tsh.42 trion sawa na 72% ya pato la Taifa.
Mkaguzi wa hesabu za serikali,CAG ameonya serikali wakati wa kuwasilisha taarifa yake kwa Rais na kusema ikifikia 76% hali ya uchumi itakuwa mbaya.Pamoja na onyo hilo Rais JPM amepuuza na kusema serikali itaendelea kukopa kwani inajenga miundombinu.
My take: Soon zile ngonjera za kuwadisi wakenya zitaanza kusikika huku bongo,wale wapuliza zumari wajitathmini.
Uzalendo wa kijinga sina..