watu ambao hawapendi ukweli ndio hao,this is the same thing that is happening in Nigeria because people don't like the truthEndelea kujifariji eti kakosea,kitu kinasoma 46 trn,sasa piga hesabu hiyo ni how much to GDP ratio
Jifariji wewe leta source basi ya hayo madudu yako au tukuskilize wewe kwa mamlaka gani uliyokua nayo??Endelea kujifariji eti kakosea,kitu kinasoma 46 trn,sasa piga hesabu hiyo ni how much to GDP ratio
duh,poleni sanaaa maana mahali mwendapo sio salamaaHabari wadau,
Repoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2015/16 inaonyesha ukuaji wa deni la Taifa umefikia wastani wa Tsh.42 trion sawa na 72% ya pato la Taifa.
Mkaguzi wa hesabu za serikali,CAG ameonya serikali wakati wa kuwasilisha taarifa yake kwa Rais na kusema ikifikia 76% hali ya uchumi itakuwa mbaya.Pamoja na onyo hilo Rais JPM amepuuza na kusema serikali itaendelea kukopa kwani inajenga miundombinu.
My take: Soon zile ngonjera za kuwadisi wakenya zitaanza kusikika huku bongo,wale wapuliza zumari wajitathmini.
Uzalendo wa kijinga sina..
Hilo deni lote na bado wananyweshwa juisi na pipi kwenye ikulu. Vyuma vimekaza jombaa.duh,poleni sanaaa maana mahali mwendapo sio salamaa
Hata kama yeye hajakosea, wewe umekosea.Endelea kujifariji eti kakosea,kitu kinasoma 46 trn,sasa piga hesabu hiyo ni how much to GDP ratio
Hata akili ya kuzaliwa umeshindwa kutumia? Deni la nchi tu likifika 50% unaanza kuwekwa kwenye list ya nchi zisizokopesheka na ungeshaskia tunatangazwa huko kila siku na IMF na World bank kwamba tuna deni sugu, sasa 72% si nchi ingeshauzwa kabisa..Habari wadau,
Repoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2015/16 inaonyesha ukuaji wa deni la Taifa umefikia wastani wa Tsh.42 trion sawa na 72% ya pato la Taifa.
Mkaguzi wa hesabu za serikali,CAG ameonya serikali wakati wa kuwasilisha taarifa yake kwa Rais na kusema ikifikia 76% hali ya uchumi itakuwa mbaya.Pamoja na onyo hilo Rais JPM amepuuza na kusema serikali itaendelea kukopa kwani inajenga miundombinu.
My take: Soon zile ngonjera za kuwadisi wakenya zitaanza kusikika huku bongo,wale wapuliza zumari wajitathmini.
Uzalendo wa kijinga sina..
Hii hai'apply' kwa nchi LDC, Tz hata deni lenu lifike hadi 100% ya GDP hutaona mtu yeyote akishughulika. Mtajiju wenyewe.Hata akili ya kuzaliwa umeshindwa kutumia? Deni la nchi tu likifika 50% unaanza kuwekwa kwenye list ya nchi zisizokopesheka na ungeshaskia tunatangazwa huko kila siku na IMF na World bank kwamba tuna deni sugu, sasa 72% si nchi ingeshauzwa kabisa..
Ethiopia and Angola Are LDC. Both have bigger GDP Than kenya, Angola particularly has 40% lower population than kenya.Hii hai'apply' kwa nchi LDC, Tz hata deni lenu lifike hadi 100% ya GDP hutaona mtu yeyote akishughulika. Mtajiju wenyewe.
Who knows? Whats your point?Ethiopia and Angola Are LDC. Both have bigger GDP Than kenya, Angola particularly has 40% lower population than kenya.
So whats your point?
0 brain..kwa uchumi kama wanchi yetu tungekua hatupewi mikopo tena na tungeshindwa kufanya mradi Wowote wa maendeleo..Hii hai'apply' kwa nchi LDC, Tz hata deni lenu lifike hadi 100% ya GDP hutaona mtu yeyote akishughulika. Mtajiju wenyewe.
Acha stress. LDC mara nyingi huwa wanasamehewa madeni yao. You are safe.0 brain..kwa uchumi kama wanchi yetu tungekua hatupewi mikopo tena na tungeshindwa kufanya mradi Wowote wa maendeleo..
Pambaneni na yenu kopeni kuziba viraka.msije tembea uchiAcha stress. LDC mara nyingi huwa wanasamehewa madeni yao. You are safe.
What you have said about Angola makes no sesnse. Common sense dictates that If Angola has a bigger Gdp than Kenya but a smaller population than Kenya then it should have a higher gdp per capita than Kenya. I have actually checked and it has gdp per capita of more than $ 3,000, which is easily double, that of Kenya. If you want proof tell me i will provide.Ethiopia and Angola Are LDC. Both have bigger GDP Than kenya, Angola particularly has 40% lower population than kenya.
So whats your point?
Deni la taifa ni tofauti na deni la benki au rafiki yako,can be more than hiyo percentage na nchi ikaendekea kudunda hapo si issue ya akili za kuzaliwa bali economics of public dept managementHata akili ya kuzaliwa umeshindwa kutumia? Deni la nchi tu likifika 50% unaanza kuwekwa kwenye list ya nchi zisizokopesheka na ungeshaskia tunatangazwa huko kila siku na IMF na World bank kwamba tuna deni sugu, sasa 72% si nchi ingeshauzwa kabisa..
Keep talking we keep doing72%???? Watanzania hapa sio pazuri hata kidogo. Kwa mwendo huu, naona kina Rwanda wakiwapiku kiuchumi.
Usikute jubilee ilitoa tako Kwa wazungu waiondoe Kenya kwenye LCD kwa pen [emoji55] ili wajipongeze kwa baadhi ya wakenya mazuzu kuwa imejenga kenya kumbe mijizi mbwa kila mradi wanapiga 70% zinakwenda kwa mafisadi ya jubileeEthiopia and Angola Are LDC. Both have bigger GDP Than kenya, Angola particularly has 40% lower population than kenya.
So whats your point?
Kwa hiyo wakamwambia ile figure ya ukweli ya 72% akaigawanye mara 2 afu apunguze 5 ili watu tusishitukie chezo.CAG kasema alikosea report sio 72% ni 31%...