Serikali iangalie haya maoparation yanayorudisha nyuma jitihada za kujikwamua na umaskini ile ya ziwani iliwatia umaskini watu wenu leo mmeanza kwa wafanyabiashara wa ng'ombe na mbuzi!!ni vema utafiti wa kina ufanywe kabla ya kuanza mazoezi kama hayo pia watendaji watekeleze kwa nia njema.