CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Kama Jiwe angekuwa hai leo hii tungekuwa tunasikia mapambio tu kwenye report ya CAG, sifa za miradi zingetawala kwa jinsi gani imetekelezwa kwa ufanisi mkuu bila upotevu wa fedha.
Pengine wiki ijayo ATCL kwa mapana kabisa ingewasilisha gawio la faida kwa serikali. Binadamu tumeumbiwa unafiki, wale wale waliogundua mapungufu katika yale yaliyofanywa na serikali ya Jiwe ndio hao hao waliokuwa wanapongeza kuwa miradi yote ilikuwa ni yenye tija kwa nchi.
 
Kama rahisi vile
 
Wakaodoti na Chato intanesheno eapoti, na hospitali ya kikanda ya chato.



Zote mayanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…